Uvira: 5 wamejeruhiwa katika mapigano kati ya wanajeshi wa Burundi na wanamgambo kutoka jamii ya Bafulero Takriban vijana watano waliokuwa sehemu ya kundi la wanamgambo kutoka jamii ya Bafulero
walijeruhiwa wakati wa makabiliano kati yao na wanajeshi…
